Watumiaji wa I Phone kuanza kuona asilimia za Betri

Haikua kawaida kwa watumiaji wa iphone kuona asilimia za betri zilizobakia mpaka uingie kwenye sehemu maalumu za kuaon. laikini sasa watumiaji hao wataanza kuziona asilimia hizo pale watakapo ongeza mfumo endeshi wa iphone zao kwenda iOS16. lakini sio sim zote za iphone zitaweza pata kipengele hiki bali ni iphoneX,iphoneXS,iphoneXS MAX,iphone11 PRO,iphone11 PRO MAX,iphone 12,iphone 12PRO,iphone12PRO MAX,iphone 13,,iphone 13 PRO MAX.

Comments